send link to app

NSSF Taarifa app for iPhone and iPad


4.2 ( 6752 ratings )
Finance Business
Developer: National Social Security Fund (TZ)
Free
Current version: 1.0.3, last update: 1 year ago
First release : 21 Apr 2022
App size: 142.77 Mb

Mfumo wa "NSSF TAARIFA" ni mahususi kwa mwanachama, mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake.

Kupitia Mfumo huu utawawezesha mwanachana kufanya mambo yafuatayo:

a) Kuangalia taarifa za usajili wake ‘Member Profile’ (taarifa binafsi).
b) Kuangalia taarifa za michango yote iliyowasilishwa na kampuni yake katika Shirika au michango iliyowasilishwa na mwanachama kwa wanachana hiari.
c) kupata taarifa za michango (Statements).